Karibu BARRU FOUNDATION SCHOOL

Elimu Bora,
Maisha Bora

BARRU FOUNDATION SCHOOL ni shule binafsi yenye kusomesha kuanzia BABY CLASS mpaka DARASA LA 7. Tunatoa elimu bora kwa Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu — kwa misingi ya maadili, ubunifu na maendeleo ya mtoto.

REG: RPS/854
👶

Baby Class – STD 7

Elimu kamili ya msingi kwa mtoto wako

🌍

Lugha 3

Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu

🚌

Usafiri wa Uhahika

Kwa wanafunzi wanaishi mbali

0
Wanafunzi
0
Walimu
0
Miaka ya Uzoefu
0
% Mafanikio
Huduma Zetu

Kwa Nini BARRU SCHOOL?

Tunatoa huduma kamili kwa mtoto wako — skuli, madrasa, na usafiri wa uhahika.

🏘️

Skuli

Elimu bora ya msingi kuanzia Baby Class hadi Darasa la 7 kwa misingi ya Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu.

🕌

Madrasa

Mafunzo ya dini ya Kiislamu, Qur'an na maadili mema kwa watoto wa madrasa.

🚌

Usafiri

Tunatoa usafiri wa uhahika kwa wanafunzi wote wanaohitaji msaada wa kufika shuleni.

Viwango vya Elimu

Madarasa & Ada

Ada zetu ni nafuu na zinajumuisha elimu kamili kwa mtoto wako.

👶

Baby Class

20,000/=
🧒

KG 1 & 2

20,000/=
📚

STD 1 – 3

25,000/=
🎓

STD 4 – 7

30,000/=
🕌

Madrasa & Chakula

20,000/=

NB: Malipo ya 2027 tutakuwa tunalipa kwa miezi minne minne pekee.

Usajili wa 2027

Gharama za Usajili

Hizi ndio gharama za usajili pekee — unapata huduma zilizoainishwa hapo juu.

📋

Fomu

10,000/=
Fomu ya usajili
✍️

Usajili

30,000/=
Ada ya usajili
✏️

Stationery

60,000/=
Vifaa vya kujifunzia
👕

Uniform (Sare)

65,000/=
Sare za shule

Kumbuka: Hizi ni gharama za usajili pekee. Ada ya kila mwezi ni tofauti (angalia viwango vya elimu hapo juu).

Wazazi Wanasema

Maoni ya Wazazi

Wazazi wetu wanasema nini kuhusu BARRU FOUNDATION SCHOOL.

★★★★★

BARRU SCHOOL ni shule nzuri sana kwa watoto. Elimu wanayopata ni bora na walimu ni wema. Mtoto wangu amebadilika sana tangu ajiunge.

A

Asha M.

Mzazi wa mwanafunzi
★★★★★

Shule ina mazingira mazuri na walimu wanaojali. Watoto wanapata elimu ya kidini na ya kilimwengu. Nawapongeza sana.

S

Suleiman A.

Mzazi wa wanafunzi wawili
★★★★★

Usafiri wa shule umetuwezesha sisi wazazi wanaofanya kazi mbali kumpeleka mtoto wetu shule. Asante BARRU FOUNDATION.

F

Fatma H.

Mzazi wa mwanafunzi
Maswali

Maswali Yanayoulizwa Sana

Haya ni baadhi ya maswali ambayo wazazi wanayouliza mara kwa mara.

Usajili unafanyikaje?
Usajili unafanyika kwa kuja shuleni moja kwa moja, au kwa kujaza fomu mtandaoni. Unahitaji kuleta nakala ya cheti cha kuzaliwa, picha 2 za paspoti, na kulipa gharama za usajili.
Mnaanza darasa gani hadi gani?
Tunapokea wanafunzi kuanzia Baby Class, KG 1 & 2, na Darasa la 1 hadi Darasa la 7. Pia tunatoa madrasa kwa watoto wa madrasa.
Mna usafiri wa shule?
Ndiyo, tunatoa usafiri wa uhahika kwa wanafunzi wote wanaohitaji msaada wa kufika shuleni. Gharama za usafiri zinategemea umbali wa nyumbani kwako.
Malipo yanafanyikaje?
Malipo yanaweza kufanyika kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au benki. Kwa mwaka 2027, malipo yatakuwa yanalipwa kwa miezi minne minne pekee.
Shule ipo wapi?
Shule yetu ipo Magomeni, Zanzibar — Shehia ya Kwa Mtumwa Jeni, mkabala na Flyover ya Mwanakwerekwe. Karibu ututembelee!

Usajili wa Wanafunzi Wapya Umeanza!

Ndugu mzazi/mlezi, tunakuomba umuandikishe mwanao kwenye skuli yetu. Tunapokea watoto kuanzia BABY CLASS, KG 1 & 2, na STD 1 mpaka STD 7. Fanya usajili leo kumhakikishia mtoto wako elimu bora kwa ajili ya future yake.

Anza Usajili Sasa
Tupo Wapi?

Mahali Tulipo

Karibu utembelee shule yetu — tupo Magomeni, Zanzibar.

📍

MAGOMENI, ZANZIBAR

Shehia ya Kwa Mtumwa Jeni
Mkabala na FLYOVER ya MWANAKWEREKWE

Facebook | Instagram | TikTok | YouTube: barrufoundation